Alhamisi, Agosti 24, 2017

Breaking News: Tundu Lissu aachiwa kwa dhamana.

Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia Rais wa TLS na Mwanasheria wa CHADEMA, Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana na Polisi baada ya kumshikilia kwa siku mbili kufuatia kumkamata tangu August 22, 2017.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Wanawake wenye ulemavu wa ngozi kuandika historia mpya kwa kupanda mlima Kilimanjaro.   Mwanaharakati wa haki za binadamu na mp...